Sunday, May 29, 2011

FURAHA MBINGUNI

Ilikuwa tarehe 28/5/2011 wakati roho sita zilipoamua kujiunga na Kanisa la MUNGU kwa njia ya ubatizo. Furaha ilioje mbinguni? 

Picha hiyo ni ya wabatizwa hao sita wakiwa tayari kuingia kwenye kisima cha ubatizo na yule wa kwanza kulia ni Karani wa Kanisa msaidizi. Ilikuwa ni siku ya furaha sana mbinguni na ndani ya kanisa pia.

Watu hawa ni matunda ya madarasa ya uinjilisti yanayoendeshwa na timu ya wainjilisti wa Kanisa. Tuwaombee sana wainjilisti hao wa Kanisa.

No comments:

Post a Comment