ILALA Seventhy Day Adventist Church ni miongoni mwa Makanisa ya Waadventista Wasabato hapa Tanzania.
Tunapatikana Ilala Boma jirani na Hotel ya Lamada nyuma ya Ugawaji ya zamani.
Lengo la kuanzisha blog hii ni kutoa nafasi kwa wanausharika (waumini) wa Kanisa letu kutoa maoni yao na kujua shughuli mbalimbali za kanisa na kupata taarifa mbalimbali zinazohusu kanisa lao.
Kama una maswali pia usisite kuuliza.
KARIBUNI KARIBUNI KWENYE BLOG YETU
Jisikie huru kutoa maoni yako na kuuliza hapa.
No comments:
Post a Comment