Friday, May 6, 2011

MATANGAZO YA TAREHE 07, May, 2011

MATANGAZO YA KANISA:
v  Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
        2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
       ibada takatifu Sabato ya leo.
       2.2 Leo ni siku maalum ya Kwaya hivyo tuwaunge mkono kwa mahitaji yao.
        2.3 Wajumbe wa baraza la kanisa wabakie nyuma mara baada ya ibada.
        2.4 Tuendelee kuchangia kwa ajili ya mahubiri ya huko Majohe maana muinjilisti anaendelea na kazi.
       2.5 Kanisa linatangaza nafasi ya walinzi wa kanisa, wanaohitaji kuomba waonane na Katibu wa Kanisa.
       2.6 Kesho ni picnic ya Vijana tarehe 8/5/2011 nauli Tshs.5000/=
       2.7Kambi la PFC la Konferensi litafanyika tarehe 19-26 June, kiingilio Tshs. 5000/= mwisho wa kutoa kiingilio ni tarehe 28/5/2011.
      2.8 Tunatangaza ndoa kwa mara ya kwanza itakayofungwa kanisani Mwenge tarehe 22/5/2011 saa 9 alasiri kati ya Emmanuel Selemani wa Mwenge na Saphiness Nicholous wa Ilala.
      2.9 Mzee wa zamu wiki ijayo ni Leonard Mahinyira.



v  WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Dr. Elly Mchomvu
Fungu Kuu: Maurice ondo
Hubiri: Pr. Joram Machage
Sadaka: Emmanuel Daniel
RATIBA YA SIKU YA KWAYA (MCHANA)
MUDA
TUKIO
MUHUSIKA
06:40-07:40
CHAKULA
Rest&Veronica
07:40-08:30
UIMBAJI
Yared Omolo
08:30-09:00
MONGE
Pr. J. Machage
09:00-10:00
UIMBAJI
Yared Omolo
10:00-10:15
MAONI
D. Sempambo
10:15-10:45
WIMBO NIUPENDAO
Yared Omolo
10:45-11:00
NENO LA SHUKRANI NA KUAGANA
Dr. E. Mchomvu
11:00
MKONO WA KWAHERI
Yared Omolo

No comments:

Post a Comment