UTARATIBU WA IBADA: 11/06/2011
1.0 SHULE YA SABATO:
2:00-3:00 Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
3:00-3:15 Nyimbo Shule ya Sabato: Damas Mahimbali
3:15-3:45 Shule ya Sabato: Uongozi wa Shule ya Sabato
3:45-4:45 Mwongozo wa kujifunza Biblia: Uongozi wa Shule ya Sabato
2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v 4:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
ibada takatifu Sabato ya leo.
2.2 Baraza la kanisa litakaa kesho tarehe 16/2/2011 saa 2 asubuhi, wakuu wa idara leteni taarifa zenu mapema pia idara zinazopeleka tarifa Konferensi andaeni taarifa zenu za robo mwisho wa kupokea ni tarehe 14/6/2011.
2.3 Leo ni sabato maalumu ya vijana wa chama cha mabalozi (Ambassador)
2.4 Makambi ya mwaka huu yatafanyika mwanzoni mwa mwezi julai, gharama za makambi hayo kwa kila muumini ni Tshs. 6000/= anza kutoa mapema.
2.5 Juma la afya na kiasi linaanza leo jioni, wote tuhudhurie
2.6Leo saa 9 alasiri kamati ya mtaa itakutana hapa kanisani, wajumbe kumbukeni kuhudhuria.
2.7 Washiriki wote mbakie nyuma mara baada ya ibada.
2.8 Kambi la Watafuta njia na mabalozi litaanza tarehe 19/6 hadi 26/6 tuwaombee.
2.9 Pendekezo la kujaza nafasi Kiongozi wa AMR ni Richard Mwebondo; Katibu Idara ya Wanawake ni Debora Majengo; Mratibu wa ATAP ni Wilson Omolo.
2.10 Mzee wa zamu wiki ijayo ni M. Rondo na Mzee wa zamu Kanisa la watoto A. Marwa.
3.0 IBADA KUU:
v 5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Emmanuel Marwa
Fungu Kuu: Charles Misheto
Hubiri: Chediel Mbwambo
Sadaka: N.M Kafwemba
No comments:
Post a Comment