“Kanisa la Kristo ni kama jeshi
bila kujali maisha ya askari yameja taabu, shida na hatari kila upande wako
maadui walio macho wakiongozwa na mkuu wa mamlaka ya giza ambae kamwe hasinzii
wala hatoroki na kuacha lindo lake, Wakristo tusipokesha kwa zamu zetu huyu
adui hodari anafanya mashambulizi ghafula ikiwa washiriki hatutakua hodari na
wenye bidii tutashindwa na hila zake. Je, itakuaje kama nusu ya askarijeshini
wakiwa wavivu na walegevu matokeo yake ni kushindwa na kutekwa au mauti”, Kutayarisha Njia, Sura ya 7,
ukurasa wa 69.
No comments:
Post a Comment