
MATANGAZO YA KANISA: 17-11-2012
04:45-05:00 Matangazo:
Mzee wa Kanisa wa Zamu
1.
Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika ibada takatifu Sabato ya leo.
2.
Tunapenda kuwashukuru waumini wote mlioshiriki katika kufanikisha siku
ya kwaya sabato iliyopita.
3.
Leo mchana waumini wote wa mtaa wa Ilala tutakutana hapa kanisani ili
kumuaga Mchungaji wa Mtaa (Pr. Alex Juma) anayehamia mtaa wa Nyakato-Mwanza.
4.
Kila Idara ikumbuke kuleta mipango yake na bajeti kwa ajili ya mwaka
2013, mwisho wa kupokea mipango na bajeti ni leo.
5.
Juma la maombi la idara ya huduma za watoto linaanza kesho saa 11jioni
wote tukumbuke kuhudhuria.
6.
Wale wanaohitaji kwenda Afrika ya Kusini kwenye mkutano wa Vijana 2013,
kiingilio ni UDS $ 275.
7.
Watendakazi wa mwaka 2013 watawekwa wakfu tarehe 22/12/2012
8.
Tarehe 23/12/2012 tutakuwa na mashauri ya kanisa na terehe 30/12/2012
tutakuwa na makabidhiano kwa watendakazi wapya na wazamani.
9.
Semina ya Idara ya mawasiliano itafanyika tarehe 08/12/2012 waumini
wanaopenda wanaalikwa kushiriki katika semina hiyo.
10. Mzee wa zamu wiki ijayo ni Leonard Mahinyira.
IBADA KUU:
05:00 - 06:00 WAHUDUMU IBADA KUU
§
Mwenyekiti: Maurice Rondo
§
Fungu kuu:
Daniel David
§
Mhubiri: Pr. Alex Juma
§
Somo la Sadaka: Edwin Nyamu
No comments:
Post a Comment