YALIYOJIRI
SABATO YA TAREHE 9/8/2014 ILALA.
Ilikuwa ni
Sabato ya pekee ambapo wana na binti za Mungu walijihudhurisha, kuabudu na
kumtolea Mungu sadaka maalum kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kanisa.
Hapa; Mch.
J. D’zombe akitoa neno la kutia hamasa juu ya kumtolea Mungu.
Pia palikuwa na maandalizi ya Mkutano mkubwa wa Kanisa la Waadventista Wasabato ujulikanao kama ''MISSION EXTRA-VAGANZA'' unaotarajiwa kufanyika tarehe 1-7 February 2015 jijini Dar es Salaam.
Hapa Mch. Rabson Nkoko akitambulisha kamati za maandalizi.
Hapa Mch. Magulilo Mwakalonge akitoa neno fupi la kutia moyo wanakamati kabla ya kwenda kuianza kazi.



No comments:
Post a Comment