Monday, August 25, 2014

RALLY YA WAINJILISTI WA VITABU KANDA YA ILALA
Rally hiyo ilifanyika sabato ya tarehe 16 Agosti 2014. Lengo lilikuwa ni kuchangia fedha kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vitakavyogawiwa katika hospitali na magereza ya jiji la Dar es Salaam. Fuatilia picha za matukio ya siku hiyo..



Hapa Kiongozi wa muziki Kanisa la Ilala Ndg. Yared Omolo akiongoza washiriki kuimba wimbo katika ibada hiyo.


Hapa Kwaya ya Kanisa ikiimba wimbo katika ibada hiyo.

Hapa Kiongozi wa Wainjilisti akitoa Hubiri la Watoto. \
Hapa Kwaya ya Wainjilisti wa vitabu Kanda ya Ilala ikiimba.

Hapa Kiongozi wa Wainjilisiti, Amina Mwimo akitoa neno la uzima.


Baadhi ya waumini na wageni wakifuatilia ujumbe kwa makini katika ibada hiyo







 1

No comments:

Post a Comment