Monday, September 1, 2014

                                   PICNIC YA VIJANA
Picnic hiyo ilifanyika tarehe 17/08/2014 maeneo ya Kawe ufukweni mwa Bahari ya Hindi. Siku hiyo vijana walijumuika kwa pamoja kufurahia na kujifunza ukuu wa Mungu kupitia vitu vya asili. Pia walifanya mazoezi na lengo hasa likiwa ni kudumisha afya za vijana kanisani. 
 


 Kiongozi wa Vijana(AY) Anthony Mwainyekule akitoa somo fupi kuhusu vijana.

 Anthony Mwainyekule akiongoza vijana katika mazoezi ya viungo
 Wasaa wa chakula cha mchana
 Baadhi ya vijana wakifurahia ukuu wa Mungu kupitia mchanga wa bahari
 Peter Joseph na Rose Joseph wakibuni taswira ya msalaba
..mslaba umekamilika sasa...
 
Peter Joseph akichora jina la Kanisa katika mchanga

Wasaa wa kurudi nyumbani..vijana wakipanda basi tayari kwa safari.

No comments:

Post a Comment