KWAYA YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO ILALA YAHUDUMU KATIKA UWEKAJI WAKFU KANISA LA KIMARA SDA
Kwaya
hii ya kanisa la waadventista wasabato Ilala imepata kuhudumu katika
siku maalum ya kuweka wakfu kanisa la waadventista wasabato Kimara
terehe 23/11/2014 katika viwanja vya kanisa hilo.
Kwaya
hii imepata kutoa huduma ya uimbaji kama kwaya aliyoalikwa siku hii na
kuimba nyimbo kama;-"Mungu wetu twamshukuru sana" huu ukiwa ni wimbo
maalum,hivi nilivyo mimi,Yesu aliniita njoo na mwisho kwaya hii ikapata
kuimba wimbo wa pamoja na kwaya ya Kimara ambao unaitwa "Naweka hazina
yangu Mbinguni"
No comments:
Post a Comment