Thursday, December 25, 2014

SABATO MAALUM YA KUMSHUKURU MUNGU KWA WEMA WAKE MWAKA 2014

Sabato ya tarehe 20 Desemba 2014 ilikuwa ni siku maalum ya kumshukuru Mungu kwa wema na fadhili zake kwa mwaka 2014. Siku hii iliongozwa na Kwaya ya Kanisa ambao walimtukuza Mungu kwa nyimbo za sifa na shukrani tangu vipindi vya asubuhi mpaka jioni. Pia ilikuwa ni siku ambayo Kwaya ya Kanisa ilitambulisha rasmi albam yake iliyorekodiwa ndani ya mwaka huu 2014 iitwayo ''MTUKUZENI".


Kwaya ya Kanisa ikiimba wakati wa Ibada asubuhi



Ruth Chaulo akihudumu katika Shule ya Sabato



Mwalimu Daniel Sempambo akiiimba pamoja na Kwaya.


Wanakwaya wakiimba wakati wa kipindi cha mchana.

habari kwa ushirikiano na http://injilileo.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment