Thursday, December 25, 2014

MTUKUZENI
''MTUKUZENI'' ni jina la albam namba 8 ya Kwaya ya Kanisa Ilala. Albam hii ilizinduliwa rasmi sabato ya tarehe 20 Desemba 2014. Albam hii ina nyimbo nane (8) ambazo zina ujumbe wa kugusa na kuwaelekeza watu kwa Mungu, nyimbo za shukrani na nyimbo za sifa. Ni nyimbo ambazo zimeandaliwa kwa ustadi na viwango vya juu.


 Sikiliza wimbo "MTUKUZENI" hapa..

 

No comments:

Post a Comment