Saturday, July 18, 2015

KRISTO TUMAINI LETU


Hili ndilo neno kuu la Mkutano wa Injili wa hadhara ambao unafanyika viwanja vya Kanisa la Waadventista Wa-Sabato Ilala. 
Mnenaji mkuu wa mkutano huu ni Mwinjilisti Yared Omolo. Kama Bwana alivyomtumia hapo kabla, atamtumia pia kwa majuma mawili tangu tarehe 18-31 Julai 2015. 
Pia kutakuwa na masomo ya Afya yatakayotolewa na daktari kila siku ya mkutano. 
Sambamba na hilo, kutakuwa na huduma ya upimaji wa afya za watu. 
Karibu wewe, jirani, ndugu, jamaa na rafiki yako tubarikiwe sote kwa pamoja. 

"KARIBU.. KARIBU.. KARIBU." 

KRISTO TUMAINI LETU

No comments:

Post a Comment