Videos


Karibu katika ukurasa huu. Hapa kuna videos mbalimbali kuhusiana na Kanisa letu. Videos za Kwaya, Vikundi vya uimbaji, Mahubiri na kazi mbalimbali za Kanisa.

 "Je umewahi kuona"
Hii ni video ya wimbo uitwao "Je umewahi kuona". Wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Mabalozi (Ambassadors Club) Ilala SDA. 

"Mtukuzeni"
Hii ni video ya wimbo uitwao "Mtukuzeni". Wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ilala

"Upendo Wako" 
Hii ni video ya wimbo uitwao "Upendo wako". Umeimbwa na Abraham Bryson, mmoja wa vijana wa Kanisa letu akishirikiana na Sarah.

"Niumbe upya"
Hii ni video ya wimbo uitwao "Niumbe upya", wimbo umeimbwa na Kwaya ya Malaozi Ilala SDA

"Bwana Kanitendea Mambo Makuu"
Hii ni video ya wimbo usemao "Bwana Kanitendea Mambo Makuu". Wimbo umeimbwa na Kwaya ya Vijana (AYS) Ilala SDA

"Kwa miaka mingi"
Hii ni video nyingine kutoka kwa Kwaya ya Viajana (AYS) Ilala SDA. Wimbo unaitwa "Kwa miaka mingi".


TMI ILALA 2017

No comments:

Post a Comment