UWEKWAJI
WAKFU KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO ILALA
Tukio hili la kihistoria lilifanyika
tarehe 1 Februari 2015 katika Kanisa la Waadventista Wasabato Ilala. Tukio hili
lilihudhuriwa na mamia ya watu toka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.
Mgeni rasmi wa siku hiyo alikuwa ni Pr. Dr. Blasious Ruguri toka Divisheni ya
Mashariki na Kati ya Kanisa la Waadventista Wasabato Afrika. Tukio hili la
pekee lilikuwa miongoni mwa matukio yaliyofanyika katika Sherehe za Utume (
Mission Extravaganza) zilizofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Pr. Malekana kiongozi wa SEC akitoa utambulisho
na ukaribisho.
Baadhi ya Viongozi wa Kanisa. Mchungaji
wa Mtaa Pr. Shehemba, Wazee wa Kanisa na Mchungaji aliyetangulia, Pr. A. Juma
wakitambulishwa.
Baadhi ya watu waliohudhuria wakifuatilia
tukio hilo.
Pr. Mwakalonge kiongozi wa STUM
akizungumza machache.
Pr. Lekundayo kiongozi wa NTUC
akizungumza machache
Sehemu ya umati wa watu waliopata
kuhudhuria Ibada hiyo.
Hati ya uwekwaji wakfu ikikabidhiwa
Mass Choir ikimtukuza Mungu kwa wimbo
maalum.
Kijana mdogo wa CHAMA CHA WAVUMBUZI
akiongoza msafara kutoka.

Mchungaji J. Dzombe akionyesha moja ya tuzo
SIKU YA MAHAFALI YA DARASA LA KIONGOZI MWADVENTISTA
Wahitimu wa Darasa la Kiongozi Mwadventista
(1)
(2)
(3)
1,2,3 Vikosi mbalimbali vya chama cha watafuta njia toka Heritage English Medium Primary School
Wahitimu wakiwa na Wachungaji viongozi
SIKU YA UTOAJI TUZO ZA "GLORIOUS MUSIC AWARDS"
Baadhi ya watu waliohudhuria tukio hili

Mchungaji J. Dzombe akionyesha moja ya tuzo
Kikundi cha Holy Reunion wakifurahia baada ya kupata tuzo yao
Holy Reunion wakiwa na baadhi ya waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Ilala
Peter Joseph akifurahi kupata tuzo yake
Baadhi ya waumini na wageni waliohudhuria mkutano wa injili wa TMI 2017
Mhubiri Pr Meshack Koome toka Kenya
Mhubiri Pr Meshack Koome toka Kenya
Watoto wakiendelea na mkutano wao wa TMI ndani ya Kanisa
Mwalimu Grace akiwa kazini
Baadhi ya watoto waliohudhuria mkutano wa TMI
Semina ya ujasiriamali zilitolewa kwa Idara ya Wanawake
Mama Rachel Mchomvu akitoa semina
Baadhi ya wanawake wakisikiliza kwa makini
Baadhi ya wanawake wakisikiliza kwa makini
Watoto wakitoa huduma ya Shule ya Sabato
Watoto wakitoa huduma ya Shule ya Sabato
Watoto wakiwa katika ibada
Mchungaji wa Mtaa wa Ilala, Pr E. Mshama Jr akiwaapisha wabatizwa
Baadhi ya wabatizwa wakiapa
TMI 2017 ILALA

No comments:
Post a Comment