2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v 4:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
ibada takatifu Sabato ya leo.
2.2 Sabato ya tarehe 30/7/2011 ni siku maalumu ya kuchangia ujenzi wa kanisa, andaa sadaka yako ili tumjengee BWANA.
2.3 Kutakuwa na semina ya huduma, wazee wote wa kanisa wanahitajika, tarehe 23/7 mchana na tarehe 24/7 kuanzia asubuhi, itafanyika Mwenge, Watoa nada ni wakurugenzi toka ECD, TU na ETC. Wazee wa kanisa fikeni na wake zenu. Nyote mnakaribishwa.
2.4 Kumbuka kuwa jumatano tarehe 27/7 ni jumatano ya mwisho wa mwezi hivyo tutafunga kanisa zima kuombea, ujenzi wa kanisa, hali ya kiroho ya kanisa na mahitaji yetu binafsi
2.5 Wafuatao wanapendekezwa na baraza la kanisa kuwa waimbaji wa Kanisa;
· Pascal Gomba
· Magreth Didas
· Oyer Jackline Didas
· Ema Mhanze
· Maricha Sonoko
2.6 Mzee wa zamu wiki ijayo ni Tumaini Mbonea, kanisa la watoto ni Msafiri John.
3.0 IBADA KUU:
v 5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Benjamin Sempambo
Fungu Kuu: Eliah Kihengu
Hubiri: Samwel Adam
Sadaka: Elly Mchomvu
4.0 UHAMISHO KWA MARA YA KWANZA:
Ø Martha Bwire toka Ilala kwenda Mbezi Louis
Ø Israel Edward toka Ilala kwenda Temeke
Ø Daniel Mwita toka Ilala kwenda Mbagala
Ø Lucas Mwita toka Ilala kwenda Mbagala
Ø Bryson Mzava toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø Anna Mzava toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø Lenny Mbwambo toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø Elibramack Joel toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø Rachel Joel toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø Emiliana Esau toka Karo-Kigoma kuja Ilala
Ø Bratus William Kabango toka Nguliguli-Maswa kuja Ilala
Ø Marko Mgabo toka Kinondoni kuja Ilala
Ø Magdalena Mwasi toka Kinondoni kuja Ilala
5.0 WAHUDUMU JUMA LIJALO:
Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
Wahudumu wa Shule ya Sabato: Uongozi wa Shule ya Sabato
Jumatano: Msafiri John/Amaniel Mbwambo
Ijumaa (kufungua sabato): Damas Mahimbali/Anorld Makenya
Jumamosi (kufunga sabato): Julius Okoth/Meshack Charles
v IBADA KUU:
· Fungu Kuu: Erasto Mhagule
· Somo la Sadaka: Samwel Jonas
· Mwenyekiti: Ken Chimwejo
· Hubiri: Pr. Eldad Mlwambo
MASHEMASI WA ZAMU: Ratiba iko kwenye ubao wa Matangazo
6.0 WAGONJWA:-
vMzee Washington Bomani ni mgonjwa yuko nyumbani kwake.
vMzee Ibrahim Mteleka anaumwa yupo nyumbani kwake
mchikichini.
MAJENGO MAJENGO MAJENGO!!!!
ü “Nao nawanijengee patakatifu ili nipate kukaa katikati yao…..” asema BWANA wa Majeshi.
ü Ubarikiwe kwa kuamua kumjengea BWANA hekalu.
ü Andaa sadaka yako ya ujenzi ili uitoe sabato ijayo (30/7/2011)
ü Haijalishi ni shilingi ngapi utatoa, wewe andaa sadaka yako na uje nayo siku hiyo uitoe kwa ajili ya hekalu la MUNGU.
No comments:
Post a Comment