Friday, July 1, 2011

UTARATIBU WA IBADA: 02/07/2011

1.0 SHULE YA SABATO:
         2:00-3:00 Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
 3:00-3:15 Nyimbo Shule ya Sabato: Damas Mahimbali
 3:15-3:45 Shule ya Sabato: Uongozi wa Shule ya Sabato
3:45-4:45 Mwongozo wa kujifunza Biblia: Uongozi wa Shule ya Sabato

2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v  4:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
        2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
       ibada takatifu Sabato ya leo.
        2.2 Leo saa 9 alasiri tunaanza makambi yetu, panga kuhudhuria makambi ya mwaka huu, Motto: USHINDI DHIDI YA DHAMBI, Wimbo Mkuu: Na 116
       2.3 Hakikisha umetoa sadaka yako ya gharama ya makambi leo na wale walioahidi timizeni ahadi zenu.
      2.4 Mashemasi wetu mtakuwa zamu kwenye Makambi siku ya jumapili, ijumaa na jumamosi, kwaya itakuwa zamu siku ya alhamisi, jiandaeni kutoa huduma bora kwa MUNGU wetu.
       2.5 Tutakuwa na meza ya BWANA baada ya makambi yaani sabato ya tarehe 16/07/2011
       2.6 Tunamshukuru MUNGU vijana wetu walioenda kambi wamerudi salama.
       2.7 Wazazi wenye watoto wanaohitaji T-shirt za makambi waonane na Kiongozi wa Idara ya Watoto, gharama ya T-shirt moja ni Tshs. 5,000/=
      2.8 Mzee wa zamu wiki ijayo ni Tumaini Mbonea.



3.0 IBADA KUU:
v  5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Damasi Mahimbali
Fungu Kuu: Paschal Mbilinyi
Hubiri: Msafiri John
Sadaka: Tadei Fred

MAKAMBI 2011 MTAA WA ILALA:-

MOTTO: USHINDI DHIDI YA DHAMBI

WIMBO MKUU: UNISAFISHE MWOKOZI- Na. 116

Hakikisha hukosi mibaraka ya Makambi ya Mwaka 2011.

No comments:

Post a Comment