Friday, July 29, 2011

SABATO YA TAREHE 29/07/2011

UTARATIBU WA IBADA: 30/07/2011

1.0 SHULE YA SABATO:
         2:00-3:00 Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
 3:00-3:15 Nyimbo Shule ya Sabato: Damas Mahimbali
 3:15-3:45 Shule ya Sabato: Familia ya Joseph Nyamu
3:45-4:45 Mwongozo wa kujifunza Biblia: Uongozi wa Shule ya Sabato

2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v  4:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
        2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
       ibada takatifu Sabato ya leo.
        2.2 Leo ni sabato maalum ya kuchangia ujenzi wa kanisa leo, toa kwa moyo wa ukaribu kadri MUNGU alivyokubaliki.
       2.3 Leo kutakuwa na ujio wa wakurugenzi wa Idara ya Vijana wa Tanzania Union na Eastern Conference hapa kanisani mchana na watakutana na viongozi wa vijana.
      2.4 Sabato ya tarehe 20/8 tutakuwa na sabato ya wageni andaa mgeni wako mapema.
      2.5 Tafadhali sana tunawahimiza kuanza kutoa pesa za lesoni kwa ajili ya robo ijayo, toa pesa mapema ili kuepuka usumbufu. Pesa zitatumwa mwezi mmoja kabla ya robo kuisha.
     2.6 Wana wa kike wote wanaombwa kubaki nyuma mara baada ya ibada kuna jambo la muhimu.
     2.7  AMO & Dorcas mmbakie nyuma baada ya ibada muonane na kiongozi wenu.
    2.8 Mzee wa zamu wiki ijayo ni Tumaini Mbonea, kanisa la watoto ni Azori Marwa.



3.0 IBADA KUU:
v  5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Ken Chimwejo
Fungu Kuu: Samwel Jonas
Hubiri: Pr. Mlwambo
Sadaka: Erasto Mhagule

4.0 UHAMISHO KWA MARA YA PILI:
Ø  Martha Bwire toka Ilala kwenda Mbezi Louis
Ø  Israel Edward toka Ilala kwenda Temeke
Ø  Daniel Mwita toka Ilala kwenda Mbagala
Ø  Lucas Mwita toka Ilala kwenda Mbagala
Ø  Bryson Mzava toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø  Anna Mzava toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø  Lenny Mbwambo toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø  Elibramack Joel toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø  Rachel Joel toka Ilala kwenda Kinyerezi
Ø  Emiliana Esau toka Karo-Kigoma kuja Ilala
Ø  Bratus William Kabango toka Nguliguli-Maswa kuja Ilala
Ø  Marko Mgabo toka Kinondoni kuja Ilala
Ø  Magdalena Mwasi toka Kinondoni kuja Ilala

5.0 WAHUDUMU JUMA LIJALO:
             Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
             Wahudumu wa Shule ya Sabato: Uongozi wa Shule ya Sabato
             Jumatano: Emmanuel Daniel/Grace Edward
             Ijumaa (kufungua sabato): Miriam Chilagi/Vumilia Bakari
             Jumamosi (kufunga sabato): Loyce Simangwi/Joel Joseph

             
v  IBADA KUU:
·         Fungu Kuu: Israel Chimwejo
·         Somo la Sadaka: Samwel Jonas        
·         Mwenyekiti: Mwita Stephen          
·         Hubiri: Emmanuel Marwa

6.0 WAGONJWA:-
vMzee Washington Bomani ni mgonjwa yuko nyumbani kwake.
vMzee Ibrahim Mteleka anaumwa yupo nyumbani kwake
                       mchikichini.

                  MAJENGO MAJENGO MAJENGO!!!!
ü   “Nao nawanijengee patakatifu ili nipate kukaa katikati yao…..” asema BWANA wa Majeshi.

ü   Toa sadaka yako leo kama MUNGU alivyokubariki.

No comments:

Post a Comment