UTARATIBU WA IBADA:
1.0 SHULE YA SABATO:
2:00-2:45 Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
2:45-3:15 Tumsifu BWANA I: Kwaya na Vikundi
3:15-3:45 Ijue Shule ya SAbato: Familia ya A. Marwa
3:45-4:45 Karibu Darasani: Wote
4:45-4:50 Tumsifu BWANA II: Kwaya na Vikundi
2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v 4:50-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
ibada takatifu Sabato ya leo.
2.2 Leo ni sabato maalum kwa ajili ya kujumuika pamoja na wageni wetu, hivyo tutakuwa pamoja nao leo kuanzia asubuhi saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni.
2.3 Jumapili ya tarehe 28/8/2011 tutakuwa na halmashauri ya kanisa kuanzia saa 8:30 mchana waumini wote mfike pasipo kukosa.
2.4 Juma la maombi la huduma litaanza tarehe 21-27/8/2011 kila siku saa kumi na moja (11) jioni.
2.5 AMO & Dorcas mmbakie nyuma baada ya ibada muonane na kiongozi wenu.
2.6 Mzee wa zamu wiki ijayo ni Azori Marwa, kanisa la watoto ni Maurice Rondo.
3.0 IBADA KUU:
v 5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Leonard Mahinyira
Fungu Kuu: Ken Chimwejo
Hubiri: Carlos Alberto
Sadaka: Justine Elieza
4.0 VIPINDI VYA MCHANA:
6:30-7:45 Edeni iliyopotea: Watu Wote
7:45-9:00 Tumsifu BWANA III: Kwaya na Vikundi
9:00-10:00 Lulu Mkononi mwako: Carlos Alberto
10:00-11:00 Tumsifu BWANA IV: Kwaya na Vikundi
11:00----- Ahsante kwa kufika na Karibuni tena: Y.Omollo
No comments:
Post a Comment