Friday, September 30, 2011

IBADA YA TAREHE 01/10/2011

UTARATIBU WA IBADA: 01/10/2011

1.0 SHULE YA SABATO:
         2:00-3:00 Darasa la Waalimu: T. Mbonea
 3:00-3:15 Tumsifu BWANA: Kiongozi wa Nyimbo
 3:15-3:45 Shule ya Sabato: Shule ya Sabato
 3:45-4:45 Mwongozo wa Kujifunza Biblia: Wote
      
2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v  4:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
      2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
       ibada takatifu Sabato ya leo.
      2.2 Leo ni siku maalum ya wana wa kike kanisa, hivyo mchana tutakuwa na vipindi vizuri mchana, ikiwamo kutoa zawadi kwa watoto waliofanya vizuri kwenye masomo yao.
      2.3 Leo saa 11 kutakuwa na vikao vya kamati ya kwaya na ya watoto wahusika wote wazingatie kuwepo kwenye vikao hivyo.
      2.4 Mashemasi wote wabakie nyuma mara baada ya ibada.
      2.5 Waumini wote mnakumbushwa kujiandaa kuchanga kwa ajili ya ujenzi wa kanisa letu kwenye siku ya majengo itakayofanyika tarehe 5/11/2011
      2.6 Kesho saa 2 asubuhi kutakuwa na kikao cha baraza la mtaa, wajumbe wote mfike tena kwa wakati.
      2.7  Kikao cha vijana kanda ya magomeni kitafanyika kesho, wajumbe mkumbuke hilo.
      2.8 Waumini wote mnaombwa kuzingatia ratiba ya kanisa, hasavipindi vya mchana na siyo kukaa kwenye vikundi vikundi wakati kunavipindi vya kanisa vinaendelea. Tafadhali sana tuzingatie hilo.
      2.9 Mzee wa zamu wiki ijayo ni A. Marwa, kanisa la Watoto ni M. Rondo.  




3.0 IBADA KUU:
5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Mrs. E. Mbwambo
Fungu Kuu: Cresenciah Marwa
Hubiri: Chediel Mbwambo
Sadaka: Mrs. Rachel Mchomvu
Kisa cha watoto: Prisca Silas

ANGALIZO: MIBARAKA YA MUNGU UTOLEWA KWA WANAOWAHI IBADA
-   Kwanini ujizuilie mibaraka kwa kuchelewa Shule ya Sabato?
üTAFAKARI, AMUA KUWAHI SABATO IJAYO.

 

No comments:

Post a Comment