Thursday, October 6, 2011

SABATO YA TAREHE 08/10/2011

UTARATIBU WA IBADA: 08/10/2011

1.0 SHULE YA SABATO:
         2:00-3:00 Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
 3:00-3:15 Tumsifu BWANA: Kiongozi wa Nyimbo
 3:15-3:45 Shule ya Sabato: Shule ya Sabato
 3:45-4:45 Mwongozo wa Kujifunza Biblia: Wote
      
2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v  4:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
      2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
       ibada takatifu Sabato ya leo.
      2.2 Leo tutatoa sadaka kuchangia gharama za kupeleka vijana wetu kwenye kambi la mafunzo Ifakara-Morogoro.
      2.3 Vijana wote wenye umri kuanzia miaka 16 hadi 22 wabakie nyuma mara baada ya ibada.
      2.4 Sabato ya tarehe 19/11/2011 ni sabato maalum ya Kaya na Familia, wote tujiandae kushiriki.
      2.5 Waumini wote mnakumbushwa kujiandaa kuchanga kwa ajili ya ujenzi wa kanisa letu kwenye siku ya majengo itakayofanyika tarehe 5/11/2011
      2.6 Kila familia na kaya inakumbushwa kufanya maombi kila saa moja asubuhi na saa moja jioni, ikiwa ni mpango wa kanisa letu ulimwenguni kote.
      2.7  Tunatangaza ndoa kwa mara ya pili kati ya Nassoro Waziri na Jane Ringia Kimaro wote ni washiriki wetu itakayofungwa hapa Kanisani tarehe 16/10/2011.
      2.8 Waumini wote mnaombwa kuzingatia ratiba ya kanisa, hasa vipindi vya mchana na siyo kukaa kwenye vikundi vikundi wakati kunavipindi vya kanisa vinaendelea. Tafadhali sana tuzingatie hilo.
     2.9 Familia ya Mzee wa Kanisa Mahinyira wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume kwa njia ya operesheni huko Ifakara-Morogoro.
     2.10 Mzee wa zamu wiki ijayo ni Msafiri John, kanisa la Watoto ni Tumaini Mbonea.  




3.0 IBADA KUU:
v  5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Ken Chimwejo
Fungu Kuu: Emmanuel Marwa
Hubiri: Msafiri John
Sadaka: Paschal Mbilinyi

ANGALIZO: Uamsho na Matengenezo ni mpango wa kanisa ulimwenguni kote:
ü   Kanisa linajiandaa kupaa hivyo kumbuka kuomba kila saa 1 asubuhi na saa 1 jioni kwa ajili ya kupokea Roho Mtakatifu atakaye kuwezesha kumtumikia MUNGU
ü   Ombea kanisa la MUNGU ulimwenguni.
ü   Jiunge kwenye mpango huo kupitia www.revivalandreformation.org

ANDAA SADAKA YAKO KWA AJILI YA UJENZI WA KANISA MAPEMA. Sabato ya kuchangia ujenzi ni tarehe 5/11/2011.

No comments:

Post a Comment