Thursday, November 10, 2011

UTARATIBU WA IBADA: 12/11/2011

1.0 SHULE YA SABATO:
         2:00-3:00 Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
 3:00-3:15 Tumsifu BWANA: Kiongozi wa Nyimbo
 3:15-3:45 Shule ya Sabato: Shule ya Sabato
 3:45-4:45 Mwongozo wa Kujifunza Biblia: Wote
      
2.0 MATANGAZO YA KANISA:
v  4:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa zamu
      2.1 Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika
       ibada takatifu Sabato ya leo.
      2.2 Sabato ijayo ni siku ya familia na kaya, wote tujiandae kushiriki
      2.3 Tunapenda kuwashukuru waumini wote mliofanikisha siku ya majengo, MUNGU awabariki sana. Sambamba na hilo kumbukeni kutimiza ahadi zenu mlizoweka.
      2.4 Baraza la kanisa rasmi litafanyika kesho tarehe 13/11/2011 wajumbe mfike kwa wakati saa 2 asubuhi, pia wakilisheni tarifa zenu kwa Katibu mapema.
      2.5 Wakuu wa idara ambao hawajaleta bajeti na mipango yao ya mwaka 2012, wawe tayari kupokea kiasi watakachopangiwa na kamati ya mipango na fedha.
      2.6 Wana wa kike wote wabakie nyuma mara baada ya ibada.
      2.7 Mashauri ya kanisa itafanyika kesho tarehe 13/11/2011 saa 8 mchana, panga kufika.
      2.8 Kila familia na kaya inakumbushwa kufanya maombi kila saa moja asubuhi na saa moja jioni, ikiwa ni mpango wa kanisa letu ulimwenguni kote.
      2.9 Juma la maombi la Idara ya watoto litaanza tarehe 19-26 nov. 2011
     2.10 Mzee wa zamu wiki ijayo ni L. Mahinyira, kanisa la Watoto ni T. Mbonea. 




3.0 IBADA KUU:
v  5:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU:
Mwenyekiti: Nassoro Waziri
Fungu Kuu: Grace Edward
Hubiri: Yared Omollo            
Sadaka: Ben Sempambo

v  KANISA LA WATOTO:
Hubiri: Noah Mrinde
NDOA:-
·   Ndoa inatangazwa kwa mara ya pili kati ya Upendo C. Mkude wa Unyankhae SDA-Singida na Christopher Tamwia wa Manzese SDA itafungwa tarehe 20/11/2011 huko Manzese SDA.

·   Ndoa inatangazwa kwa mara ya kwanza kati ya Emmanuel Marwa wa Ilala SDA na Elizabeth Bulugu wa Yombo SDA itakayofungwa tarehe 27/11/2011 hapa Ilala SDA.

AHSANTE KWA SADAKA NA AHADI YAKO YA MAJENGO;
MUNGU AKUBARIKI, USISAHAU KUTIMIZA AHADI YAKO KWA WAKATI.

No comments:

Post a Comment