Friday, April 13, 2012

MATANGAZO

RATIBA YA IBADA: 14 /04/2012

SHULE YA SABATO (S.S):
02:00-3:00 Darasa la Waalimu: Uongozi wa Shule ya Sabato
03:00-3:15 Nyimbo za vitabu: Kiongozi wa Nyimbo
03:15-3:45 Shule ya Sabato:Uongozi wa Shule ya Sabato
03:45-4:45 Mwongozo wa Kujifunza Biblia: Wote

MATANGAZO YA KANISA:
04:45-5:00 Matangazo: Mzee wa Kanisa wa Zamu
1.    Tunapenda kuwakaribisha wageni wote na waumini wa kanisa hili katika ibada takatifu Sabato ya leo.
2.    Kuanzia kesho jioni tutakuwa na juma la maombi la elimu kila siku saa 11 jioni.
3.    Sabato ya tarehe 28/4/2011 tutakuwa na rally ya idara ya uchapaji.
4.    Tarehe 29/4/2012 lutakuwa na safari ya watoto kwenda Bagamoyo, gharama ni Tshs. 7000/= kwa mkubwa na Tshs. 5500/= kwa mtoto hiyo ni chakula pamoja na usafiri wa kwenda na kurudi.
5.    Zoezi la upigaji picha kwa waumini wa kanisa ili kuweka kumbukumbu katika utaratibu mzuri linaendelea, hakikisha umefikiwa na wahusika.
6.    Tunahimiza waumini kuanza kutoa sadaka ya gharama ya makambi kuanzia sasa goli la kanisa letu ni Tshs. 2,021,965/= na pia sadaka ya gharama ya efoti ambayo ni Tshs. 5,230,200/= 
7.    Mzee wa zamu ni Tumaini Mbonea.

 IBADA KUU:
05:00-6:30 WAHUDUMU IBADA KUU
    Mwenyekiti: Ken Chimwejo
     Fungu kuu: Noah Mrinde
    Mhubiri: Tumaini Mbonea
    Somo la Sadaka: Eliya Marwa

KWA WATOTO:-
    Noah Mrinde

No comments:

Post a Comment